Darasa la muziki la watoto wa kikristo linapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wao kuwa sasa wanaweza kupata taarifa za Darasa la Muziki watoto wa kikristo .
Kupitia msemaji wake na mwenyekiti wa napenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki lakini wakristo wote tanzania wanaopenda kuona maendeleo ya katika makanisa yetu kila kukicha kwamba tumeamua kuweka bayana kila tukio kila safari na pia kuweza kupata taarifa za ndani na zenye uhakika kutoka ndani ya uongozi wa darasa la muziki kutokea makao makuu yake.
Lakini pia kwa wale wanaopenda kupata taarifa za jinsi gani tunaweza kujifunza na mazoezi yatu kama team tuvyoweza kwenda mbele.
Na mwisho blogspot yetu itahusika kwenye kuweka bayana Ratiba za safari zetu ndani ya mkoa na nje ya mkoa wa dar es salaam lakini pia itatengeneza mazingira mepesi ya kuweza kuwasiliana moja kwa moja na darasa kupitia blogspot.
Mwisho Tunapenda kuwapa taarifa na kuwaomba kepuka utapeli wa jinsi ya kutualiaka au kutuomba kuja kushirikiana nao katika hafla mbalimbali kama mikutano ya injiri,Uzinduzi wa album za kwaya au Kanisa bila kujari dhehebu husika cha msingi ni kufuata taratibu nyepesi ambazo ni kupiga simu ya
Mwenyekiti +255718 64 57 58
Asante kwa kuwa pamoja
Sisi tunazidi ya muziki tufuatulie
Sunday, June 21, 2015
Thursday, June 18, 2015
BINTI MWENYE UWEZO MKUBWA WA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI NA KUBARIKIWA SAUTI NYURI
Siyo model huyu wala siyo katoto ka mshefa flan mjini uko wrong wang huyu ni
Elizabeth James Maliga Amechaguliwa kuwa mwanakwaya bora wa mwezi huu ndani ya blog ya Darasa la muziki la watoto wa kikristo kama ungependa kujua mengi kumhusu unakaribishwa.
"Acha wenye moyo safi wamsifu muumba wao"
Tuesday, June 9, 2015
DARASA LA MUZIKI
Darasa la muziki lililosheheni wapiga vyombo vya muziki wenye ubora wa hali ya juu limetangaza safari zake baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa.
Itazame fursa ya kutengeneza kanisa lenye wapigaji wa vyombo vya muziki kwa kuwatazama watoto wenye umri chini ya miaka kumi (10) wenye uwezo wa kucheza na vyombo zaidi ya viwili
safari zote hazina malipo
kwa mawasiliano
mwenyekiti darasa la muziki
0718 64 57 58
Mwimbieni mungu kwa vinanda na vinubi maana iliandikwa
Tuimbe kwa roho na Akili
Itazame fursa ya kutengeneza kanisa lenye wapigaji wa vyombo vya muziki kwa kuwatazama watoto wenye umri chini ya miaka kumi (10) wenye uwezo wa kucheza na vyombo zaidi ya viwili
safari zote hazina malipo
kwa mawasiliano
mwenyekiti darasa la muziki
0718 64 57 58
Mwimbieni mungu kwa vinanda na vinubi maana iliandikwa
Tuimbe kwa roho na Akili
Subscribe to:
Posts (Atom)